BREAKING NEWS: Rais John Pombe Magufuli ameamua kuwasamehe Nguza Viking, Babu Seya na Papii Kocha A+ A- Print Email BREAKING NEWS: Rais John Pombe Magufuli ameamua kuwasamehe familia ya wanamuziki mashuhuri wa Dansi nchini, Nguza Viking(Babu Seya) na Johnson Nguza (Papii Kocha) kuanzia leo. - Walihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kesi ya kunajisi watoto